STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 18 Aprili 2016

FAHAMU REKODI ZA MESSI KATIKA MAGOLI YAKE 500...........

Lionel Messi jana usiku alitimiza magoli 500 tangu alipoanza kucheza soka la ushindani, wakati Barcelona ilipofungwa 2-1 nyumbani na Valencia. 

Messi celebrates after scoring to make it 2-0 to Barcelona in the 2009 Champions League final in Rome   Hii ni rekodi mpya kwa Messi na imekuja baada ya miaka 11, baada ya goli lake la kwanza akiwa na miaka 17 alilofunga dhidi ya Albacente mnamo May 2005. 

Tuangalie namna Muargentina huyu alivyofikisha idadi hii ya magoli kwa klabu na nchi yake. 

 Messi huanza mechi taratibu
 
Messi ni aina ya wqchezaji ambao huanza mechi taratibu, takwimu zinaonyesha ni magoli 50 tu kati ya 500 ambayo alifunga katika dakika 15 za kwanza za mechi – lakini amekuwa mwiba kwa timu pinzani kwa dakika nyingine 75 zinazofuatia. Huadhibu sana timu pinzani pale zinapoanza kuchoka.


 Ni mguu mmoja tu wa Messi ambao ni hatari
Unataka kumzuia Messi asifunge? Mzuie asipige na mguu wake wa kushoto, unaweza kufanikiwa kwa asilimia 81%, kwa sababu asilimia 81 ya magoli yote aliyofunga amefunga na mguu wa kushoto – magoli 406, wakati mguu wa kulia magoli 71, na kichwa magoli 21. Mipira ya adhabu ndogo – magoli 25 na penati 64.


 Kwenye misimu 8 iliyopita amefunga wastani wa magoli 40 kwa msimu.
Messi msimu huu mpaka sasa amefikisha magoli 42.  


Timu alizozifunga 
 

Atletico Madrid na Sevilla wana sababu za kumuogopa Messi zaidi – amezifunga magoli 25 kila timu. Magoli manne zaidi ya aliyoyafunga dhidi ya Real Madrid. 

 Mashindano aliyofunga magoli
 
Magoli mengi zaidi amefunga katika La Liga. Wakati kwenye World Cup amefunga matano tu. 


 Amezidiwa na Cristiano Ronaldo
Messi pamoja na mpinzani wake Ronaldo wamefunga jumla ya magoli 1,039. 


 Anahitaji kumpa zawadi Dani Alves
Barcelona right-back Dani Alves ndio anaongoza kumpa Messi pasi za mwisho kabla ya kufunga, wamecheza pamoja kwa miaka 10.


 
Messi alifanikiwa kuwa mchezaji pekee aliyefunga magoli matano katika mchezo mmoja wa Champions League wakati Barca ilipoifunga Bayer Leverkusen 7-1 mwaka 2012. 


 Messi 500 a

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox